JOMAKIBU JF-Expert Member Joined Apr 18, 2015 Posts 538 Reaction score 70 May 18, 2015 #21 Huko Ulaya Upo Sekita Ya Urishaji Chakula Nguruwe?
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 May 18, 2015 #22 werrason said: Unajiskia sababu ulipendwa, ngoja uje ukutane na manyang'au ndo utatia akili. Click to expand... Haaah jamani kuna dada zako, shangazi, mke, mama wa dogo/kubwa, nk; japo mtandaoni ila tumia maneno yenye staha hata kwa mbali.
werrason said: Unajiskia sababu ulipendwa, ngoja uje ukutane na manyang'au ndo utatia akili. Click to expand... Haaah jamani kuna dada zako, shangazi, mke, mama wa dogo/kubwa, nk; japo mtandaoni ila tumia maneno yenye staha hata kwa mbali.
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,223 Reaction score 39,928 May 18, 2015 #23 Tamalisa said: Haaah jamani kuna dada zako, shangazi, mke, mama wa dogo/kubwa, nk; japo mtandaoni ila tumia maneno yenye staha hata kwa mbali. Click to expand... .....mkuu namaanisha wachuuzi wa mapenzi, haija-base kwenye jinsia hata wanaume wapo manyang'au mkuu!
Tamalisa said: Haaah jamani kuna dada zako, shangazi, mke, mama wa dogo/kubwa, nk; japo mtandaoni ila tumia maneno yenye staha hata kwa mbali. Click to expand... .....mkuu namaanisha wachuuzi wa mapenzi, haija-base kwenye jinsia hata wanaume wapo manyang'au mkuu!
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 May 18, 2015 #24 werrason said: .....mkuu namaanisha wachuuzi wa mapenzi, haija-base kwenye jinsia hata wanaume wapo manyang'au mkuu! Click to expand... Sawa mkuuu!
werrason said: .....mkuu namaanisha wachuuzi wa mapenzi, haija-base kwenye jinsia hata wanaume wapo manyang'au mkuu! Click to expand... Sawa mkuuu!
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 567 May 18, 2015 Thread starter #25 Kuna watu WENGINE wao kila MTU wana mzarau Kwan lazima MTU ataje nchi aliyopo hapa tuna ongea Kama vijana WENGINE wana leta majungu yani kweli balaaa
Kuna watu WENGINE wao kila MTU wana mzarau Kwan lazima MTU ataje nchi aliyopo hapa tuna ongea Kama vijana WENGINE wana leta majungu yani kweli balaaa
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 736 May 18, 2015 #26 Babu kashafanya manyaunyau yake
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 May 18, 2015 #27 Tanzania unaisomea UK.
Mis powers JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 2,741 Reaction score 3,544 May 18, 2015 #28 mmh sasa unamuwazia nin? ulikuwa unampenda kwan!? We si uliona cha nn!
S simple one Senior Member Joined Feb 24, 2014 Posts 168 Reaction score 69 May 18, 2015 #29 Ww ndio kati ya wale wanaume ambao mkioneshwa mnapendwa hamjali mnakuja kushtuka muda umeisha pole ndo ujifunze siku ukipata mwingine ushikamane nae
Ww ndio kati ya wale wanaume ambao mkioneshwa mnapendwa hamjali mnakuja kushtuka muda umeisha pole ndo ujifunze siku ukipata mwingine ushikamane nae
bint_shaaban Member Joined Sep 27, 2014 Posts 87 Reaction score 47 May 18, 2015 #30 Ndo ukome...nyie maheart breaker .... now karma is doing you right.... u shuttered her feelings heartlessly.....utamuota sana na bado
Ndo ukome...nyie maheart breaker .... now karma is doing you right.... u shuttered her feelings heartlessly.....utamuota sana na bado
Gazaniga JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 1,051 Reaction score 360 May 18, 2015 #31 Hapa umepost ukihitaji ushauri au?
kajunjumele JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 2,490 Reaction score 1,362 May 18, 2015 #32 SOGHOO said: Ulaya ulikwenda kwa boti ukitokea Libya. mbona hunipi picha kam wewe umepitia shule ? au uko ulaya ndogo yaani Lushoto Click to expand... Anamaanisha Ulaya= Ulayasi eneo la Makete,..Balozi=Balozi nyumba Kumi.Upo hapo?
SOGHOO said: Ulaya ulikwenda kwa boti ukitokea Libya. mbona hunipi picha kam wewe umepitia shule ? au uko ulaya ndogo yaani Lushoto Click to expand... Anamaanisha Ulaya= Ulayasi eneo la Makete,..Balozi=Balozi nyumba Kumi.Upo hapo?
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 567 May 18, 2015 Thread starter #33 Jamanii eeee mbona mna nishambulia mm siku fanya makusudi ni kitu ambacho siku weza kuki fanyia uwamuzi wa papo Kwa papo
Jamanii eeee mbona mna nishambulia mm siku fanya makusudi ni kitu ambacho siku weza kuki fanyia uwamuzi wa papo Kwa papo
Gemmy JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 1,211 Reaction score 822 May 18, 2015 #35 Ukiwa na kitu Huwezi kujua thamani yake mpaka ukipoteze maji yamekwisha mwagika hayazoleki endelea na maisha yako tuu hata ukiendelea kumtakafari na kumuwaza muda mwingi haitabadilisha kitu
Ukiwa na kitu Huwezi kujua thamani yake mpaka ukipoteze maji yamekwisha mwagika hayazoleki endelea na maisha yako tuu hata ukiendelea kumtakafari na kumuwaza muda mwingi haitabadilisha kitu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 May 18, 2015 #36 Baada ya wazazi kumaliza kuzaa MAFISADI, sasa wanazaa WAONGO!
I IBM2014 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 929 Reaction score 169 May 18, 2015 #37 We zeroo utabaki hvyohvyo
U uniquelady JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 420 Reaction score 177 May 18, 2015 #38 Unapiga danadana karibu na goli Wewe wajanja wakipata Mpira wanapiga shuti Kali goooooooliiii.......
K kabalizuka Member Joined Nov 11, 2011 Posts 99 Reaction score 24 May 18, 2015 #39 Hii story kama siiamini vile..........
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 8,076 Reaction score 17,462 May 19, 2015 #40 Unamuombea apate mpenzi mwingine....kwani aliyekuambia anaolewa naye sasa ni nani?