BINADAMU NI MTIHANI, MAPENZI TUNAYASINGIZIA SABABU NI LAZIMA BINADAMU WAKUTANE. Fikiri juu ya marafiki walioanza pamoja biashara kisha baada ya mafanikio makubwa wakadhulumiana au hata mmoja kumuua mwingine, jumlisha na matukio mengi mchanganyiko, utanielewa. Napita.