Unajua kila shetani ana mbuyu wake. Si kila utakayempenda wewe basi kila mtu atampenda na si kila utakayemuona we hafai basi watu wote watampuuza, SIVYO!!! Mapenzi ni kama majani huota yanapotaka. Na mapenzi hayana sababu, ila kuweka hoja yako vizuri, niseme kwamba mazoea ni miongoni mwa stage za kuelekea kwenye mapenzi!