Wala hana njaa na mie... Basi tu wanawake mna nini!?Mpe hela ukiingia tu chumbani unakuta mguu bara mguu pwani na imeloa tayari......
Mtu anawaza madeni yake saa ngapi hata atakua na hamu, utaipigaaa kavu kama mti hata haishtuki
Na hakupi??? Hana maana kabisa pole shem ake.....uko wapi kwaniNa ATM yangu nimemkabidhi...
Huyo mwanamke ana shida kudadeki zake, mi nkipewa ATM mbona atakua anaogopa kurudi home mapema make hata kyupi tu bye bye ni muda wote kumpa.....Wala hana njaa na mie... Basi tu wanawake mna nini!?
Shem unachelewa uko wapiiiiiii πππDah! Utakuja!?
π€
Machangu hawana shida ni hela yako.Wanarusha mateke kama punda aiseh!Machangudoa wanachukua point tatu za ugenini!
Unaanza na kumywea chai ya tangawizi, mdalasini na asali ili iwe kama microwave kabisa.....Kwanza anavaliwa khanga moja, wala hahitaji kujua km anahitajiwa ila yeye ajiandae kwa showβ¦!! πΉπΉπΉ
Daaah hebu ngoja nikupm πNiko hapa kwa Bed...
Ye kadaka cm yake.. nami niko JF..
Bc vumiliaNdo tushaoana sasa.
Hapanaaa ameniudhi sana siongei nae yani nimekasirika kwa niaba yako..... Haiwezekani kadi umpe afu aibane bane sijapendaNapiga uongee nae. Niko nae hapa...
πππ
Kibibi kinafanyiwa waxing kinameremeta πΉπΉUnaanza na kumywea chai ya tangawizi, mdalasini na asali ili iwe kama microwave kabisa.....
Anaesema wanawake hatuwahitaji anyongwe aseee make ni yeye kajiwekea mazingira ya kutohitajika