Kila mahali sasa kila mtu anazungumzia mapenzi......wakati enzi zile (ambazo kila mtu anaziita enzi zetu) mapenzi yalikuwa siri ya wawili tuuu.....jmn tupunguze au tubadilishe style!!!

Utandawazi umeleta ukweli na uwazi na kuweka mambo hadharani. Wamama watu wazima wanatafuta vijana wadogo wakula nao maisha kuwalipizia wababa wazee wanaotafuta wasichana vigori na kula nao maisha.