Mapenzi ndivyo yalivyo ivo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna binti tulikuwa tunasoma naye
Binti huyo alikuwa mzuri saana wanafunzi wenzangu na baadhi ya walikuwa wana data na uzuri wa binti huyo
Hata mimi pia nilikuwa natamani saana kutoka naye lakini hali yangu ya maisha ilinifanya nisijiamini kabisa kwake
Kwa hiyo sikutaka shobo naye kama walivyokuwa wanafunzi wenzangu

Sasa siku moja nilikutana naye barabarani
Alikuwa anaelekea sokoni na mimi pia nilikuwa naelekea sokoni
Nilikuwa na baiskeli nikamwambia ninaweza kukupa lift akakubali nikambeba kwenye baiskeli yangu mpaka sokoni mimi nikamuacha nikaenda zangu kutafuta tenda maana kipindi icho nilikuwa nafanya kazi ya kubeba mizigo ya watu kwenye baiskeli kila nikitoka shuleni
Sasa kesho yake shuleni kwenye kipindi cha mapumziko alikuja kwenye kiti ambacho nilikuwa nimekaa tukaanza kupiga story akaanza kuniambia kwanini wewe ni mpole saana hauko kama wenzako darasani nikawa na mwambia ndivyo nilivo tulipiga story saana
tukazoeana kabisa akawa anafika nyumbani kwetu na mimi nafika nyumbani kwao tukawa marafiki wa kufa mtu kabisa

Siku moja nilikuwa na msindikiza sehemu fulani siku hiyo tulipiga mvua tulikimbilia kujificha kwenye choo fulani hivi
Siku hiyo nikumbukumbu ya maisha yangu kila nikifika tarehe fulani za mwezi kama ule na sherekea ( mapenzi ya chooni ni matamu kuliko ya kitandani)
Na hapo ndipo ulikuwa mwanzo wa mapenzi yetu nilimpenda saana binti huyo
Ila Mungu Alimpenda zaidi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ur me or fe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…