Mapenzi na uongo dam dam

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Ni kama chanda na pete. Inajulikana kama muongo huongopewa. Wengi wetu husema na kuambiwa kuwa ni wapenzi wa pili tangu tuanze kugegedana. Ukibisha uliza.

Uzuri wa uongo wa mapenzini husemwa faragha na bila ya haya. Ndiyo kawaida. Na mambo yanakwenda...
 
Tatizo mpenzi ukimwambia ukweli anajua unamdanganya so beta kuwa muongo.
 
Kama kuna ka ukweli hapa, maana kuna baadhi ya warembo ukiwa unawaambia ukweli hawakuamini hata kidogo, ila ukingopa ndio wanakubali/wanaamini
 
Mimi wangu nampa makavu nataja idadi ya wa ku heat and Run na ambao nilikaa nao kidogo jumla simuambii huwa anajumlisha yeye kichwani mwake
 
asilimia kubwa ya wanaume wa kitanzania wanapenda kudanganywa. yaanu ukimwambia i love you anachanganyikiwa hata kama sio kweli
 
Na asilimia kubwa ya wanawake wa Kitanzania ni waongo. Anakuambia hajawahi ku do hata mara moja kumbe ya mchina, kaungaunga tu. Unajakuta weye ni wa 80+. Nasema kila tendo la zinaa lingekuwa linaleta mtoto wengine mngefungwa vizazi kwa nguvu bila ridhaa zenu.
 
asilimia kubwa ya wanaume wa kitanzania wanapenda kudanganywa. yaanu ukimwambia i love you anachanganyikiwa hata kama sio kweli
Sista aya bana
 
asilimia kubwa ya wanaume wa kitanzania wanapenda kudanganywa. yaanu ukimwambia i love you anachanganyikiwa hata kama sio kweli

Kwanini ni "wa Kitanzania"?

Tunaomba ushahidi wa haya madai yako!
 
maajabu ni kwamba uwa twajua wote twadanganyana na still twavuliana., intrestng.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…