wanasemaga mapenzi kitendawili
.. uzuri,umri,elimu ,pesa yote hayategui hiko kitendawili bali ni watu kuelewana tu na hisia zao. hisia zikiisha mapenzi yanaisha kwa nyumba mnakuwa wapangaji tu hata muwe na pesa za kumwaga uzuri,elimu vyote havitakua na maana tena