Mhhhh.
Jitahidi kuwa na uandishi mzuri.
Mapenzi na kazi??????
Mfano Mimi ni Daktari. Nina mapenzi na kazi yangu ya Udaktari. Kwahiyo unanishauri
nisipende kazi yangu.???
Nisijitoe kwa Kazi yangu????
Nisije tayari hata kufa kwa Kazi yangu.
Mimi ni kijana Mwenye Mapenzi Makubwa Mno na kazi yangu.
Nina mapenzi ya dhati kabisa na kazi yangu.
Kiswahili lugha yangu