House boy je huyo maza mdogo wake akimtaka house boy itakuwaje? Mie nadhani huyu dingi fataki anatakiwa afanyiwe maombi kwani kinachomsumbua ni pepo la ngono, akiombewa tamaa alizonazo kwa mabinti zitaishabora atafutwe house boy
Hata mimi nimeona jamaa atakuwa yeye ndio anamuonja housegirl
Ili mama alipe kisasi.bora atafutwe house boy
Ili mradi usitafune waume za watuUnakua umeolewa na mume kama huyu na wewe unaringa kwa watu eti nimeolewa tena unajigamba mwanamke kuolewa heshima bana phewwwwww ni bora nibaki single nijue moja tu
bora atafutwe house boy