alafu ww huu sio udaku na real.............mana naona kila kitu kwako unaona udaku mweh!Ni mimi mtangazaji wako kutoka Udaku FM.
Kaaazi kweli kweli. Pole kwa wahusika wote.
alafu ww huu sio udaku na real.............mana naona kila kitu kwako unaona udaku mweh!
mjeda wawatu hajauona mwaka jamani! kweli kuna kimada na limada naona yy alikutaka na boss wao sasa ndio akamfanya kimada wake matokeo yake ndio hayo chacha

Nilidhani niko peke yangu!!Style ya utoaji habari.
Naongeza POLE nyingine.
kimada muuaji kakamatwa yuko buguruni anasubiri kwenda mahakamani yaani atajuta kweli kwanza mpaka hukumu ipite wanajeshi watamla nyama maana wanatabia ya kuhitaji maelezo basi atajuta kila anapoitwa kuhojiwa lazima akamuliwe damu.................kwanza hakuna cha kuitwa hapo tena ndio mazima lupango ............masikini mke wa mjeda namuoneaje hurumaaaaaaaaaaaaaa
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon,
Mwaka mpya na mambo mapya.
pamoja sana tuhuu ni mfano sahihi wa kuwa mkweli maana wengi huaga kwenda sehemu tofauti na waendazo ... mjeda RIP
sio mmachame kweli huyo mdada@aminata[h=6]jamni yule dada katili sana[/h]