Mapenzi kweli upofu

Mapenzi kweli upofu

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
666
Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu.

Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu..
 
Kwahiyo wewe ni kuwadi na domozege kwa mpigo!!!
Wajomba zangu wasirithi hiyo tabia.
 
Hahah...kwo wakati una muoa unamaanisha haukufahamu kuwa ni yeye mkuu? Hatari sana.
 
Mapenzi kweli ni upofu aliyekuwa demu wangu sasa ameolewa na kaka yangu
 
Hahah...kwo wakati una muoa unamaanisha haukufahamu kuwa ni yeye mkuu? Hatari sana.
Alijua mkuu ndio hivyo mapenzi ni upofu ukipenda umependa tu hautaki kuskia mengine
 
Kwahiyo wewe ni kuwadi na domozege kwa mpigo!!!
Wajomba zangu wasirithi hiyo tabia.
Hakuna ukuwadi hapo walipo patana mie sikuwepo Bali tulipo zoeana alikuwa anaweka mafuta kwenye usafir nampeleka kupigwa mapaipu..
 
Mapenzi bhaaana! Hayana definition sahihi.
Mapenzi upofu, mapenzi ububu, mapenzi kizunguzungu, mapenzi Pesa, n.k.

Hongera mkuu kwa kupata mke
 
Dada niliye kuwa nampelekea kwa bwana ake na ka usafir kangu kupigwa paipu mwishoe akaishia kuwa demu Wangu wa nguvu.

Dada aliye kuwa ananitafutia mademu baadae kunitafutia Mke ili nioe mwishoe akaishia kuwa Mke Wangu na watoto juu..
Waswahili walisema.......
Kwenye safari ndefu, usije ufanya muwa kama mkongojo...
Siunaona sasa.....
 
Kuna miss atakuja kupinga na kusema, mapenzi pesa tu
 
Back
Top Bottom