Mapenzi kitu kibaya sana

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
225
Reaction score
215
Jaman mi ninachohitaji ni ushauri nipo katika hali mbaya kuna mwanamke nampenda sana lakin kasikia kua nina dem mwingine kitu ambacho sio cha kweli kisa tu nilipiga nae picha basi rafiki zake wakamwambia mi nilisex nae adi tukapiga picha nimejaribu kuongea nae lakin hanielew nimeagizia rafik zang lakin wap nampigia cm saiz hapokei wala kujib sms imefikia mda sasa nimekata tamaa lakin nashindwa kumtoa moyon ata sijui nifanyaje anitoke nimsahau kabisaaa mana nimetokea sasa kuchukia jinsi anavonifanyia naomben mawaidha yenu wakuu
mapenzi mabaya asee nimeamin naombeni ushauri nifanyaje
 
Acha kulia lia kisa mapenzi mtoto wa kiume... Huo nao ni upopoma.

Mwaache aendee.
 
Mkuu mapenzi siyo mabaya walimwengu ndiyo wabaya
 
Hali unayopitia ni swala la muda tu utazoea na utamsahau ila next time jaribu kua na mpenzi+ hutakaa kulialia tena
 
Tuma muamala afu mpigie uone respond yake....mrejesho muhimu
 
nimejaribu kuongea nae lakin hanielew nimeagizia rafik zang lakin wap nampigia cm saiz hapokei wala kujib sms

Hao unaoagiza ndio ukute wanakula demu wako, acha uzembe kutuma watu mapema hvo

Acha kulia lia na mapenzi, mkaushie hata siku mbili (akirudi endelea nae, akikausha na yeye achana nae)
Kadri unavojisogeza kwa demu, ndio kadri anazidi kuwa mbali na wewe
 
Maisha ni mazuri kadri unavyokua kua, hapo tatizo sio mwanamke ila ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…