Mapenzi kitu gani?

Mapenzi kitu gani?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari zenu wanajamvi!
Eti waungwana,raha ya mapenzi ni nini hasa?
Nimeshakuwa na mademu wengi kila mmoja kwa wakati tofauti,huwa sichanganyi,ila sijawahi furahia mapenzi...raha ya mapenzi iko kwenye nn hasa?
Nifanyeje ili niyafurahie?
Naombeni msaada wenu!
 
kunywa juisi ya pilipili kichaa glasi 3 kabla ya gemu then unipe feedback..
 
Habari zenu wanajamvi!
Eti waungwana,raha ya mapenzi ni nini hasa?
Nimeshakuwa na mademu wengi kila mmoja kwa wakati tofauti,huwa sichanganyi,ila sijawahi furahia mapenzi...raha ya mapenzi iko kwenye nn hasa?
Nifanyeje ili niyafurahie?
Naombeni msaada wenu!

Inawezakana tangu mwanzo ulikuwa na mtazamo usio sahihi wa mapenzi na ndiyo maana ukajikuta umekuwa na mademu wengi ukifikiri kila mpya utakaye mpata anaweza kukufanya ufurahie mapenzi na mwisho wa siku adhma yako haikutimia. Ukweli ni kuwa, mapenzi ni zaidi ya kutafuta mademu au kumuacha wa zamani na kuwa mapya. Mapenzi yanajumuisha social life, upendo wa dhat, kushirikishana, kuthaminiana, kusaidiana, maongezi mema nk. Pia ni suala la kisaikolojia. Jaribu kukaa na huyo uliyenaye sasa, kuwa karibu naye, toka naye, ongea naye, furahi naye, shirikianeni nk utaona matunda yake.
 
Aksante kwa ushauri wako mzuri....
 
Mpendwa wewe nani kakuambia kuwa hujawahi pata raha ya mapenzi? wakati wewe mwenyewe unakiri na kusema kuwa hujui raha ya mapenzi? Ukisha jibu maswali yangu nitakupatia elimu juu ya mapenzi bora yaletayo raha na amani moyoni.
 
Wengine wameparurwa mgongoni na shingoni utadhani mnyama Simba alitaka kuwafanya kitoweo lol! Chezeya kupenda na kupenda weye!!!

mateja yana alama mpaka visogoni, lol!
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa wewe nani kakuambia kuwa hujawahi pata raha ya mapenzi? wakati wewe mwenyewe unakiri na kusema kuwa hujui raha ya mapenzi? Ukisha jibu maswali yangu nitakupatia elimu juu ya mapenzi bora yaletayo raha na amani moyoni.

Mkuu,sana sana kwenye kugegedana...sijawahi kufikishwa kunako...sijawahi mkuu,badala yake naona ni kujichosha tu...hebu nipe maujanja mkuu...
 
Wengine wameparurwa mgongoni na shingoni utadhani mnyama Simba alitaka kuwafanya kitoweo lol! Chezeya kupenda na kupenda weye!!!

ha haaaa, you have made my day rafiki.......
ngoja nishikamane mie........
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom