Nishajiuliza sana, kama kumpenda, kweli nampenda, lakini naanza kumchoka sasa, maana simuelewi, nishamweleza, sasa kama Nina matamanio ya mapenzi nifanyeje na yy hataki kunipa Papuchi? Ananiomba niendelee kumvumilia. Nimechokaaaaaa. Aaah.
usimdanganye mwenzio kuna mtu anakula huo mzigo bila vikwazo vyovyote.
Wadau, i believe mpo Poa.
Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.
Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.
Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.
Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.
Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.
Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.
Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.
Hata sio Limbwata. I simply Loved her.
Mpaka kufikia hatua nimeanika la moyoni jamvini ujue yamefika shingoni, what i have realise ni kama naogopa nikihama ntakuwa nimepoteza muda mwingi sana kwake, Lakini pia, Huyu binti ni bikra, labda kweli anaogopa.
Nawaza miaka yote namsubiri, halafu nimuache, atokee mwingine avunje glass ambayo mm niliishia kuishika tuu?
She Look honest, Friendly but mpaka Leo hanipi mchezo, kuchepuka natamani lakin si mjuzi sana wa hit n Run, nahisi nitakamatwa tuu.
Nampenda, Lakini anachonifanyia sio sawa, Mapenzi na sabuni, Lotion, kutoboa godoro, Nimechoka. Nikiwaza sana, nahisi kama nachanganyikiwa.
And am serious... INANINYIMA RAHA. Chuo nilikuwa namwandikia Project zake zote, Field report zake nimefanya Mimi. Na zote alifauli kwa kiwango cha A. Lakini Papuchi sipewi, kuna kipindi kuna masomo ambayo mm sikuwa nasoma ila yy, yalikuwa yanamsumbua, Nikaanza kusoma notes ili nimuelekeze, yote kumjali na kumpenda, Papuchi No. Sasa maji yamefika shingoni, Naona nazeeka, Ujana unanipita, ninaempenda she is taking me for Granted.
This is not Fair.
Yaani thamani ya yote uliyomfanyia ni kupewa ngono? You are not serious shemeji, yaani ukipewa tu inalipa gharama zote? I strongly recommend, mapenzi sio ngono tu, there is more than that. I had been with my boyfriend for ages now, we never been in bed but we love each other. He treat me like a queen and I do the same like a king. We are happy and respect each other, we are together most of the time, at my home, at his ghetto, but we never do it. We will soon merry and enjoy everything we have. So acha uchizi fanya kazi