Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Mkuu asante kwa kufanikiwa kunichekesha ...

Pili, sina ushauri wa cha kumfanyia mpenzio ila PUNYETO sio dili braza..nguvu za kufanya hivyo unatoa wapi kwanza? Inaonesha pamoja na kusoma pepa za procurement you still have a lot of time on your hand..keep yourself busy! Usipende kuwa mtu wa kulalamika kaka. Always see the positive side of things...
 
Msitumie hasira kunishaur jaman, naona kama nazidi kuchanganyikiwa. Kuna kipindi najifungia chumbani na kulia Mwenyewe. Hivi huku ni kupenda? Au Ujinga?

Unalilia papuch au....vumilia usizin kijan..fany mazoez san kuepuka punyeto
 
Teh teh teh teh dudu ikiona mkono wa kulia inataka looo!! Basi hamna haja ya kuoa mana tayar una mke ambaye ni mkono wako wa kuume
 
Pole kijana mshawishi ili kama ikiwezekana mfunge ndoa ili kuhalalisha hili jambo endapo kweli una nia nzuri kwake kama yeye atakavyo, Jambo la kumwacha au kuchepuka ni hatari zaidi kwako na kwa afya yako. Endapo unafikiri hauna fedha, fedha haziji siku moja. Funga ndoa maisha yasonge kuliko kuumiza moyo wako.
 

Kama ulishawahi kupenda then utakuwa umenielewa, sion upumbavu wangu, ikiwa kwa kumpenda niliamua kusubiri, it was becouse I believed she will understand me.

Lakini baadae nimeona muda unazidi enda, hapa nimeomba ushauri sio matusi, mm mwenyewe najitukana everyday.

nishauri jambo jema, nitakushukuru, ukijisikia kutukana, poa.
 

mkuu nasoma sana,but Kuna muda nakuwa mpweke, nifanye Mkuu? Nikanunue Malaya?

Tunatofautiana Mkuu, wakat mwingine tuwe na busara, jaribu ulopita ukashinda, mm nikishindwa, usiniseme vibaya, Nishauri jema la kufanya nami nitashukuru.

Roho inaniuma sana, wee acha tu.
 
mimi nina maswali mawili? ukinijibu nitakupa ushauri mzuri sana....

1. ulishawahi kugegeda demu yoyote toka kuzaliwa kwako??

2.Ulishawahi kupiga nae romance huyo demu wako hata siku moja??
 

Ndio Mkuu nilishawahi. Na ndio tulishafanya romance.
 


Nashukuru Mkuu kwa Ushauri Wako.
 
kweli bana amekufanya zombi na wewe umekuwa zombie, chepuka bana huoni njia kuu kuna ajali.

Mkuu hii ni noma.......nimecheka sana na wala sikutarajia siku yangu ingeisha kwa kicheko namna hii....njia kuu kuna ajali? ha ha ha ha nimeipenda hii.
 

Hayo ya gf wako sijui ila ushauri wangu JITAHIDI UWEZAVYO KUACHA HUO MCHEZO...!!!
 
Dyudyu ikiona mkono wa kulia inafanyaaaaaaje?
Ahahahahahahaha wallahi wadauz mna namna za kuelezea machuuuuungu!
Kha!
hhahahaahah Nouma sana jamaa katisha plan B yake ni Pull
 

hutomsamehe kwani amekukosea ndugu?

kama unampenda na umeridhia awe mke wako jipange tu umuoe ufaidi matunda ya ndoa! acha punyeto na usifikirie kutenda dhambi ya uzinzi!
 
Hahahaaaa nimecheka kweli.chepuka mkuu itazama ndani hyo
 
kula papuchi kwa kimeno........

hlf kuna wanaume mnakuwa mazombie , yaani unamfanyia mwanamke vitu utadhani unapigana Jihad........

huo ni ukenge kupiga nyeto kisa mwanamke ............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…