Bwana mdogo we ndo unalemba. Go to the next level, tii haja yake ya ndoa na isnt necessary ukaoa kwa matarumbeta. Anayajua maisha yako vzr hata kataa kuolewa na wewe.
Nxt time usiweke uchumba kwa muda mrefu, mi nilikaa miaka8 kilichotokea ni majanga never trust em @ all!
wengine tunatafuta wanawake wenye msimamo kama huo....wewe badala ya kufikiri kuanza maandalizi ya kuoa unalalama tu...huyo ndiye mke haswaaaa....dada kaza uzi.....hakuna kuachilia hadi kieleweke.....na kama wadada wote wangekuwa na msimamo kama wa huyo mdada nadhani wote wangeshaolewa...usiogope ugumu wa maisha..wenzio wanaoa hawana kazi...wewe una kazi..tena na yeye ana kazi...alafu bado unazubaaa....tu....unajua huyo mwanamke keshaona hauna nia ya kumuoa bali unataka kumchezea tu alafu umbwage...wenzio watamchukua shauri yako....
Usikilize moyo wako,jee uko tayari kusubiri zaidi? jee ukotayari kumuona mwenzio anakula baada mda mdogo tuu kumuacha wewe? jee unampenda yeye au unapenda Papuchi tuu?Mpaka kufikia hatua nimeanika la moyoni jamvini ujue yamefika shingoni, what i have realise ni kama naogopa nikihama ntakuwa nimepoteza muda mwingi sana kwake, Lakini pia, Huyu binti ni bikra, labda kweli anaogopa.
Nawaza miaka yote namsubiri, halafu nimuache, atokee mwingine avunje glass ambayo mm niliishia kuishika tuu?
She Look honest, Friendly but mpaka Leo hanipi mchezo, kuchepuka natamani lakin si mjuzi sana wa hit n Run, nahisi nitakamatwa tuu.
Nampenda, Lakini anachonifanyia sio sawa, Mapenzi na sabuni, Lotion, kutoboa godoro, Nimechoka. Nikiwaza sana, nahisi kama nachanganyikiwa.
And am serious... INANINYIMA RAHA. Chuo nilikuwa namwandikia Project zake zote, Field report zake nimefanya Mimi. Na zote alifauli kwa kiwango cha A. Lakini Papuchi sipewi, kuna kipindi kuna masomo ambayo mm sikuwa nasoma ila yy, yalikuwa yanamsumbua, Nikaanza kusoma notes ili nimuelekeze, yote kumjali na kumpenda, Papuchi No. Sasa maji yamefika shingoni, Naona nazeeka, Ujana unanipita, ninaempenda she is taking me for Granted.
This is not Fair.
jamani mpka unatia huruma mwee, pole, ila anachokifanya huyo binti ndivyo inavyotakiwa binti kuishi hivyo, haya mambo ya kugawa gawa watu tumeamua tu kuibariki zambi lakini si sawa. Na sitaki kukushauri ukimbilie kumuoa kisa una haraka ya kugegeda hiyo haitakuwa ndoa sababu ukishagegeda hamu ikaisha yatakuwa mengine, ndoa ifanyike wote mkiwa tayari kiroho, kimwili na kimali. Cha msingi jikaze kiume mpaka utakapokuwa tayari kwa maamuzi ya ndoa na pia acha hiyo punyeto inakumaliza na utakuja kulijua hilo baada ya kuanza kugegeda
mkuu sasa umejuaje kama ni bikra? Ok ila hayo ni kawaida hata mimi yamenitokea na bado yanaendelea ila inahitaji uvumilivu kiasi chake usife moyo
sijawahi kuona mwanaume mpu....uzi kama wewe, hivi wanawake unawajua wewe au unawasikia? cha kufanya hapo tafuta mwanamke mwingine na huyo mfanye work in progress, siku akiingia king ndo utatafakari upya.
pole sana mdaun Noel 2014, nakupa pole pia hongera kwa kuwa mvumilivu
BUT....
unajua effect za nyeto na it seems wewe ni muadhirika wa nyeto kisaikolijia unahitaji ushauri na pia ujitahid uache hiyo tabia kwa maana ukiendelea nayo siku utakapomuoa utashindw kumfikisha na utaona aibu na kutamani kujiua ndani ya ndoa yako
jiulize ndanin ya nafsi yako kwa mfano siku utakaomuoa ukakuta SIYO BIKIRA alikuwa anakudanganya je utaendelea kumpenda na ndoa umefungua??unajua maana ya shake well before use ??
umesema anakuchukulia as granted i believe so ...4 yrs hajaona value yako na hajatambua ya kwamba una future nae???
ndoa sio sherehe kama kweli anakupeda lazima ajali afya yako mwambie mkafunge NDOA without sherehe usikie majibu atakayojibu....ukiona anakataa ooo nataka sherehe kubwa achana nae boss kwa maana hkujali hawezi kukumbia msifanye mapenzi miaka yote
pole sana jitaahid kutafuta njia nzuri ya kutatua hili tatizo cos huenda ni mkwel or ndo unadanganywa all this years
Usikilize moyo wako,jee uko tayari kusubiri zaidi? jee ukotayari kumuona mwenzio anakula baada mda mdogo tuu kumuacha wewe? jee unampenda yeye au unapenda Papuchi tuu?
Anae penda kikweli hachoki kuvumilia,wala habadilishi kauli hata ukumchukia,sasa kama kweli nia yako safi na mapenzi yako ni ya dhati basi vumilia na muombe mugu akunyeshe njia ya kheir na kama huyu msichana ana kheir na wewe akusogeze karibu na kama ana shari basi akuepushie............Nishajiuliza sana, kama kumpenda, kweli nampenda, lakini naanza kumchoka sasa, maana simuelewi, nishamweleza, sasa kama Nina matamanio ya mapenzi nifanyeje na yy hataki kunipa Papuchi? Ananiomba niendelee kumvumilia. Nimechokaaaaaa. Aaah.
Lugha yako imekaa kike sana.
Kajifunze kuongea kiume, atakukubali.
Anatafuta mwanaume.
She sees none in you kid.
Pole sana inaelekea ulimpenda sana. usisonoeke na nitakayokuambia, bali kama nae angekuwa na upendo sawa angekubali muoane kwa harusi ya uwezo wako. Nina wasiwasi kama anakupenda jinsi unavyompenda. Anza kufikiria kusonga mbele mwambie umefikia wakati wa kuoa unataka kumuoa kwa gharama utakayoafford, kama hataki songa mbele utapata utakaempenda hata zaidi ya huyo. Kama mfuatiliaji wa JF kuna Uzi uliletwa hapa wa Amina nadhani. mara nyingi binadamu tukipenda hudhani baasi ndio wa mwisho, amini nikuambiayo na kama tayari umekwishaanza mchoka unaweza hata usiifurahie ndoa yako. Go on usiogope na jitahidi usahau muda na energy na akili uliyotumia kwake.Nishajiuliza sana, kama kumpenda, kweli nampenda, lakini naanza kumchoka sasa, maana simuelewi, nishamweleza, sasa kama Nina matamanio ya mapenzi nifanyeje na yy hataki kunipa Papuchi? Ananiomba niendelee kumvumilia. Nimechokaaaaaa. Aaah.
wengine tunatafuta wanawake wenye msimamo kama huo....wewe badala ya kufikiri kuanza maandalizi ya kuoa unalalama tu...huyo ndiye mke haswaaaa....dada kaza uzi.....hakuna kuachilia hadi kieleweke.....na kama wadada wote wangekuwa na msimamo kama wa huyo mdada nadhani wote wangeshaolewa...usiogope ugumu wa maisha..wenzio wanaoa hawana kazi...wewe una kazi..tena na yeye ana kazi...alafu bado unazubaaa....tu....unajua huyo mwanamke keshaona hauna nia ya kumuoa bali unataka kumchezea tu alafu umbwage...wenzio watamchukua shauri yako....
Pole sana inaelekea ulimpenda sana. usisonoeke na nitakayokuambia, bali kama nae angekuwa na upendo sawa angekubali muoane kwa harusi ya uwezo wako. Nina wasiwasi kama anakupenda jinsi unavyompenda. Anza kufikiria kusonga mbele mwambie umefikia wakati wa kuoa unataka kumuoa kwa gharama utakayoafford, kama hataki songa mbele utapata utakaempenda hata zaidi ya huyo. Kama mfuatiliaji wa JF kuna Uzi uliletwa hapa wa Amina nadhani. mara nyingi binadamu tukipenda hudhani baasi ndio wa mwisho, amini nikuambiayo na kama tayari umekwishaanza mchoka unaweza hata usiifurahie ndoa yako. Go on usiogope na jitahidi usahau muda na energy na akili uliyotumia kwake.