Mapenzi Jamani Mapenzi.. uuuuwiii....

Msitumie hasira kunishaur jaman, naona kama nazidi kuchanganyikiwa. Kuna kipindi najifungia chumbani na kulia Mwenyewe. Hivi huku ni kupenda? Au Ujinga?
 
Ndugu yangu pole sana. Kwa maelezo yako kwamba umepiga punyeto kwa miaka minne naweza kusema wewe tayari ni mlemavu wa hicho kiungo kwasababu kwa nguvu uliyotumia tayari umeathirika hata ukipewa papuchi leo huwezi kufanya hicho unachotamani kwa zaidi ya dakika 4 utamwaga mbegu haraka na uume utalala tororo kwasababu ndo umezoea hivyo. Matokeo ya hiyo ni kwamba hata huyo binti atakudharau kwamba huwezi kazi kumshughulisha na hatimaye hamtaishi. Ushauri wangu acha punyeto tangu sasa, nenda kwa wataalamu wa saikolojia wakuoe ushauri mzuri, mwambie huyo binti kwamba huna uwezo wa kufanya sherehe kubwa ya kufunga ndoa, kama anataka ndoa na wewe nendeni kanisani kwa mchungaji ndoa ifungwe kikanisa nila sherehe. Unajua ndoa ni siyo sherehe usiwe mtumwa wa kuiga, ndoa inafungwa kanisani au kwa sheik unakosali wewe baada ya hapo nendeni mkaishi, sherehe ni uwezo wako. Akikataa hivyo basi amua moja anza upya kutafuta mchumba uoe. Yeye futa hata namba maana anakufanyia maisha ya maigizo.
 

aisee pole mwaya! jitahidi umuoe tu
 
Angalia usije uziwa mbuzi kwa gunia kisa umesikia mlio tu
 
Bwana mdogo we ndo unalemba. Go to the next level, tii haja yake ya ndoa na isnt necessary ukaoa kwa matarumbeta. Anayajua maisha yako vzr hata kataa kuolewa na wewe.
Nxt time usiweke uchumba kwa muda mrefu, mi nilikaa miaka8 kilichotokea ni majanga never trust em @ all!
 

we jamaa unaletewa story za bikira na unaziamini? Nakuonra huruma sana...
 
wengine tunatafuta wanawake wenye msimamo kama huo....wewe badala ya kufikiri kuanza maandalizi ya kuoa unalalama tu...huyo ndiye mke haswaaaa....dada kaza uzi.....hakuna kuachilia hadi kieleweke.....na kama wadada wote wangekuwa na msimamo kama wa huyo mdada nadhani wote wangeshaolewa...usiogope ugumu wa maisha..wenzio wanaoa hawana kazi...wewe una kazi..tena na yeye ana kazi...alafu bado unazubaaa....tu....unajua huyo mwanamke keshaona hauna nia ya kumuoa bali unataka kumchezea tu alafu umbwage...wenzio watamchukua shauri yako....
 
Vumilia kuna siku yeye atakubaka kabla ujambaka wewe. Je wazazi wanakujua? Hata ndugu na jamaa? Kama hawakujui endelea kuitwa majina ya kuchovya.
 

jamani mpka unatia huruma mwee, pole, ila anachokifanya huyo binti ndivyo inavyotakiwa binti kuishi hivyo, haya mambo ya kugawa gawa watu tumeamua tu kuibariki zambi lakini si sawa. Na sitaki kukushauri ukimbilie kumuoa kisa una haraka ya kugegeda hiyo haitakuwa ndoa sababu ukishagegeda hamu ikaisha yatakuwa mengine, ndoa ifanyike wote mkiwa tayari kiroho, kimwili na kimali. Cha msingi jikaze kiume mpaka utakapokuwa tayari kwa maamuzi ya ndoa na pia acha hiyo punyeto inakumaliza na utakuja kulijua hilo baada ya kuanza kugegeda
 
mkuu sasa umejuaje kama ni bikra? Ok ila hayo ni kawaida hata mimi yamenitokea na bado yanaendelea ila inahitaji uvumilivu kiasi chake usife moyo
 

sijawahi kuona mwanaume mpu....uzi kama wewe, hivi wanawake unawajua wewe au unawasikia? cha kufanya hapo tafuta mwanamke mwingine na huyo mfanye work in progress, siku akiingia king ndo utatafakari upya.
 

Heheheheh kumbe amekufanya zombie
 
Matumaini yangu 100% yeye awe hajaguswa means a virgin, vinginevyo hapo ni kushika pembe tu mkuu watu wanakamua, ila hawakosi kujitetea sana uku umeshikwa kidevu you know baby kabla yako nilikuwa na boy nilimwamini sana mpaka nikakubali kutoa bikra yangu kwake, so take care brooooooo.
 
pole sana mdaun Noel 2014, nakupa pole pia hongera kwa kuwa mvumilivu

BUT....
unajua effect za nyeto na it seems wewe ni muadhirika wa nyeto kisaikolijia unahitaji ushauri na pia ujitahid uache hiyo tabia kwa maana ukiendelea nayo siku utakapomuoa utashindw kumfikisha na utaona aibu na kutamani kujiua ndani ya ndoa yako

jiulize ndanin ya nafsi yako kwa mfano siku utakaomuoa ukakuta SIYO BIKIRA alikuwa anakudanganya je utaendelea kumpenda na ndoa umefungua??unajua maana ya shake well before use ??

umesema anakuchukulia as granted i believe so ...4 yrs hajaona value yako na hajatambua ya kwamba una future nae???
ndoa sio sherehe kama kweli anakupeda lazima ajali afya yako mwambie mkafunge NDOA without sherehe usikie majibu atakayojibu....ukiona anakataa ooo nataka sherehe kubwa achana nae boss kwa maana hkujali hawezi kukumbia msifanye mapenzi miaka yote

pole sana jitaahid kutafuta njia nzuri ya kutatua hili tatizo cos huenda ni mkwel or ndo unadanganywa all this years
 
Last edited by a moderator:

kweli, kuhusu kupukuchua maindi ama kupiga nyeto nahofia sana impotence. Ama hali ya kutokuwa rijali.

Lakini nashukuru, nitaufanyia kazi ushauri Wako.
 
Oiii tatizo lako hilo unashindwa kumpa mtoto outing,umpeleke mahali tulivu...mengine ntamalizia badae,astaghfiruulah x10
 
aisee pole mwaya! jitahidi umuoe tu

kweli? Nimedevelop tabia za Ajabu, Hasira za mara kwa Mara, kususa, kuzira, kuongea sana, yaani am not a person I used to be, nawaza hata nikimuoa, kwa magumu nilopitia sintonsamehee, Mbona nishantambulisha hadi kwetu, hata Leo hii akicheza nje akapata mimba, kwao mtu wa kwanza watamuhisi ni mm. But here iam, kwa muda nilopiga nyto, I call my self a Professional on that Field. Inaniuma sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…