Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Yamenikuta kijana mwenzenu!mwaka jana mwezi October nilianza kudate rasmi na binti mmoja hv,mwanzo nilikuwa namuona wa kawaida tu ila siku zilivyozidi kwenda nikaangukia kwenye mahaba Niue,kwa wiki naletewa mbunye mara 5 hadi 6,ss kilichonifanya niandike Uzi huu kuanzia tarehe 2 mwezi huu hadi Leo sijapewa papuchi na sababu za uongo na kweli,so najikuta nimekuwa mpweke kuliko maelezo na nilishazoea zile amsha amsha na sio hivyo tu nahisi kama taa ya njano imewaka kwenye mahusiano yetu!
Japo nampenda sana lkn kabla taa nyekundu haijawaka nataka nianze kumove on taratibu kwa kutafuta mbadala wake,maana nikimuacha kisha nikawa single nitaumia maradufu
H
Sent by Diaspora
Japo nampenda sana lkn kabla taa nyekundu haijawaka nataka nianze kumove on taratibu kwa kutafuta mbadala wake,maana nikimuacha kisha nikawa single nitaumia maradufu
H
Sent by Diaspora