Mapenzi haya

mtoa mada nimeipenda sn mada yako ....mim pia kwa sasa tunaishi kwa mazoea tu na my wife ..yapo zaman yn alikuwa adi analia akinimiss mmh .....nilikuwa nakosa raha nisipomckia dah but now dayz aah no one care tunaish kwa mazoea2 roho inaniuma sn nayataman yale mapenz yarud but haiwezekan nimetumia njia nying kujaribu kuyarejesha but wapii....mapenz yanaumiza sn jaman
 
pole aisee hairudigi hiyo
 
Ivi nyie wanawake mnapenda kufanyiwa nini katika sex kati ya kunyonywa km mpaka ukojolee mdomoni au kunyonywa mknd au mziwa lomanc kitovu maskio so what doyou like from boys to do tell ?
 
Ivi nyie wanawake mnapenda kufanyiwa nini katika sex kati ya kunyonywa km mpaka ukojolee mdomoni au kunyonywa mknd au mziwa lomanc kitovu maskio so what doyou like from boys to do tell ?

Duuuhh hilo swali si ungemuuliza huko pm ata kama mnajuana ndo maswali gani hayo?
 
Penzi ni kitu ambacho kinaweza kukupa furaha maishani mwako vile vile penzi linaweza kukupa huzuni milele moyoni mwako.

Jambo lililo bora na muhimu ni kupata Mtu anayetambua thamani ya Mapenzi.
 
Mkuu nimecheka ulipo sema kila mtu kurudi na maboresho yenye kuvutia
 
[emoji29] [emoji25] inauma sana Mtoto Mzuri anapotendwa....
Ukuwe Mke mwema kweli...!Mungu akusaidie[emoji8]
 
Ni kwel mkuu ukimpenda mtu mwanzon hata akikataa au akizingua then akaja kukubali baadae ama mliachana then mkaja kurudiana mapenz yanakuwa ya kawaida sana wala huoni jipya tena kama cc ME hapo inakuwa sehemu ya kuondolea ukame tu ila no malengo yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…