Yaani ningeshukuru sana kama tungejifunza pamoja ilo somo la mapenzi,ebu ni PM namba yako ili tujadiliane vizuriTokea enzi za mababu zetu eeh
ungerudiana nae ningekupa hongerahapana nimewaza tu huwa inatokea hata kwa wengine
kusacrifice[emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha yako kwa ajili yakehongera kwa nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] safi sanaover my dead body life is goin on!
ni kweli lakini alwayz ikitokea things are not going the sameSometimes inatokea kumisiana ama kukumbukana katika mema.
Kurudiana inawezekana kabisa na Upendo kwa kiasi hautakuwa Kama ulivyo kuwa awali (Nina uzoefu binafsi katika hilo).
Hata ule wivu wivu flan wa asili nao unakuwa umepoa Sana hasa ukizingatia Kama ulibaini ukweli Fulani wakati "mmebreak" aliendelea kula ama kuliwa.
Otherwise unaweza kuwabadili kila uchwao na usipate matarajio chanya, wanadamu tunafanana na kutofautiana katika angle flan flan.