Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
-
- #21
lugha kubwaKiswahili kinazidi kukua kila kukicha misamiati mipya... hacha sijui umelitohoa kutoka kabila gani.
'hacha' nimepotea hapo rafikiWadau wa jf habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Kuna tatizo lolote anaweza kupata kijana akifikisha umri wa miaka 24 ajawai kufanya mapenzi.
unaweza kusema "sio poa"'hacha' nimepotea hapo rafiki
Hacha tu ndo nn?Wadau wa jf habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Kuna tatizo lolote anaweza kupata kijana akifikisha umri wa miaka 24 ajawai kufanya mapenzi.
"sio poa"Hacha tu ndo nn?
Wewe ni mvulana, usijiingize kwenye mapenzi hadi uwe mwanaume! Tumeelewana?lugha kubwa
kivip mkuu?Wewe ni mvulana, usijiingize kwenye mapenzi hadi uwe mwanaume! Tumeelewana?
Kiafya hakuna tatizo, ila jamii inaweza kukuchukulia kama mwenye mapungufu huenda na vijana wa Rika lako wakaona wewe hujakamilika.kiafya pamoja na kijamii
pamoja kiongozi🙏🙏Kiafya hakuna tatizo, ila jamii inaweza kukuchukulia kama mwenye mapungufu huenda na vijana wa Rika lako wakaona wewe hujakamilika.
Nyeto mbayaa kijanaaapamoja kiongozi[emoji120][emoji120]
kivip bossChaliii unastahili mitamaaa...
Miaka 24 hujui papuchi inafananaje????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee somea upadri tukivip boss
😂😂😂nyeto sio mwanachamaNyeto mbayaa kijanaaa
Wee thubutuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]nyeto sio mwanachama
mwana amefikisha hiyo miaka ajui papucha alikuwa anaomba ushauri 😔😔Kama Kuna athari zozote anaweza pataMiaka 24 hujui papuchi inafananaje????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee somea upadri tu
hahahaha au sioWee thubutuuuuu
...yani wewe itakuwa unajilipuaa sanaa
mkuu icho kichwa akiingiliani na mada ni kuvuta attention ,mada yenyewe mbona iko waziHacha yenyewe ndo hii
Tutaelewana tu