Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
kiafya pamoja na kijamiiFafanua, tatzo la kiafya, kiuchumi au kijamii?
AiseeeeKwa kweli hacha tu [emoji16][emoji16]
ujaelewa kitu gani ?Kuna tatizo mkuu. Huoni wew huwezi hata kuandika vizuri.
nenda kwenye mada mkuu'HACHA" ndio kitu gani?
sawa kiongozimapenzi acha tuu
🤣🤣🤣Inawezekana kupata kutu katika viungo vya uzazi kisha kama mimba akimpatia binti basi akazaliwa mtoto mwenye degedege kutokana na tetanus.
kutu Nini mkuu fafanua vizuriInawezekana kupata kutu katika viungo vya uzazi kisha kama mimba akimpatia binti basi akazaliwa mtoto mwenye degedege kutokana na tetanus.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa kweli hacha tu [emoji16][emoji16]
swali au wataka maoni?Wadau wa jf habari zenu
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Kuna tatizo lolote anaweza kupata kijana akifikisha umri wa miaka 24 ajawai kufanya mapenzi.
Kuna rafiki yangu anataka ushauriswali au watacka maoni?
ujaelewa mada?Ukikua utayakimbia mwenyewe....ni pasua kichwa, hasa mfuko ukiwa unalegea legea ndio shida zaidi