erick anajitafutia balaa,we mwache tu,nyendo zake zinafuatiliwa na mossad,anapenda sana vya kunyonga huyol.heeeee hayo ndio mapenzi bhanaaaaaa. lazima pesa ikutoke, chacha fikiria unavyo ghramia ndugu yangu alaf unamkuta Erick B52 kamkamatia.................................:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
Nothing goes for nothing
B' umezoea wale ambao ukiwapa chips wanaona ni outing? lol. Umempta SIZE yako. hahaha! Nasubiri feedbak mwisho wa story.
Uko sawa! Na sioni la kushangaza! Bali ningeshangaa kama ningesikia umepeleka mifuko miwili ya saruji hapo jirani yako kwenye kituo cha mayatima kilichosimama ujenzi kwa sababu ya ukata!
Mi ndo nilipigwa down au we The secretary ndo katua pwaaaa?
nshakwambia nimeanza kukupendapenda ujue? it is getting deeeper,the feeling i mean.
chezeiya bishanga wewe?