Mapenzi bila stress/kuumizana uthamani wa mapenzi haupo

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,320
Reaction score
849
Stress/Kuumizana smtime zinasaidia kuongeza chachu ya mapenzi, Mtu katendwa na msamaha anaomba yeye kama ndo mkosaji, hii ni thamani.
 
nasema tu ila hapa nina machungu balaa nagegedewa nw na najua kabxa ila2 cna jinsi maana hata cm hazpatkan wiki la pili nw hata kwao washamtafuta kwa ndugu zao wote hayupo
 
Pole jamani. Mapenzi yanauma.....!
 
Sasa Mkuu usifikirie vitu vibaya kwanza, kama kwao hapatikani na simu hazipatikani fanyeni juhudi zaidi kumtafuta pengine kapata matatizo na sio hicho unachofikiri.....labda kama uwe na uhakika na hiyo ni tabia yake.
 
Kama dege kubwa vile limepotea, sembuse huyo tu????

Anyway... Usiusikilize moyo sana. Changanya na akili zako... Kuna vitu tu inakubidi wakati mwingine uviruhusu vitokee na ukubali vimetokea.
 
Khaaaaa makubwa!!!

Kwa hiyo mtu akiwa simu yake haipatikani na nyumbani kwao hayupo anakusaliti!!!!????

Je kama amepata balaa huko aliko?

Kwanini usiwaze yupo kwenye matatizo mazito wewe unawaza kusalitiwa tu.

Kuna mazingira ya kusema unasalitiwa na kuna mazingira mengine hata kusalitiwa unasahau kama kupo na mazingira mojawapo ni kama hili linalokusibu wewe. Maana bora angekuwa kwao yupo ila ameamua tu kuzima simu hapo ungesema hayo usemayo lakini si katika hili.
 
Kidume mpk kusema hivyo heshimu hisia zake,
Kuna cku kasafiri njian akazma cm baada ya cku mbili ndo akajapatikana akadai alikua kwa mamdogo wke lakin ndugu zake wakakataa hakufika kabxa huko sasa leo tena ndo ivoo
 
Pole.
Kama kupotea potea ni tabia yake basi subiri safari hii akirudi atakuja na story gani then wewe utajua maamuzi gani uchukue.
 
UUUUpsiiiii MAPENZI

kumbe unajua ni tabia yake kutoweka na akifika huko anazima simu kuepusha usumbufu ili ale starehe kwa raha zake...

tulia atarudi na atakuja na sababu kwanini hapatikan na wewe ndo mwenye maamuzi...
 
Hilo ndo patano letu mume wangu, na hapa ndio jijini mbeya mume wangu
 
Kidume mpk kusema hivyo heshimu hisia zake,
Kuna cku kasafiri njian akazma cm baada ya cku mbili ndo akajapatikana akadai alikua kwa mamdogo wke lakin ndugu zake wakakataa hakufika kabxa huko sasa leo tena ndo ivoo

hiyo ndi chachu ya mapenz sasa...akirud mwombe msamaha kwa kumtafuta af mapenz yapambe moto
 
Kidume mpk kusema hivyo heshimu hisia zake,
Kuna cku kasafiri njian akazma cm baada ya cku mbili ndo akajapatikana akadai alikua kwa mamdogo wke lakin ndugu zake wakakataa hakufika kabxa huko sasa leo tena ndo ivoo

Ndio yule aliendaga Mwanza?
 
Achana nae huyo potea potea, atakuuwa kwa presha ndugu
 
pole sana walilia manundu;;;;; mpotezee kama vp.....
 
Kidume mpk kusema hivyo heshimu hisia zake,
Kuna cku kasafiri njian akazma cm baada ya cku mbili ndo akajapatikana akadai alikua kwa mamdogo wke lakin ndugu zake wakakataa hakufika kabxa huko sasa leo tena ndo ivoo

kuchapiwa ni siri ya ndani mkuu...
 
Najamini coz kunizma cm ni jinsi alivyogundua ni strength
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…