Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Umeona eeeh lazima upime makanikiaMAPENZI BILA KUGEGEDANA NI SAWA NA DEREVA MWENYE GARI ILA HALIENDESHI.LIMEPAKI TU
Lazima uchenjueKunjunjana nimuhimu lazima ule mpepe usiponjenjua hiyo makanikia mwenyewe wenzako watakua wanaichenjua mwsho wasiku utaachiwa handaki......
Mtoa posti nimependa aina ya lugha uliyotumia
Haaaah hyo skuijua kbsaUngekumbuka mapema hii kauli Mchumba/mke hasomeshwi mkuu.
Ila msomeshe mwanamke kama msaada au wajibu wako ila usimsomeshe kisa ni mkeo au mchumba utaumia tu.
MKUU UTAKUTA HANDAKI TU MAKINIKIA YOTE UTAKUTA YASHATOROSHWAMi nina mwaka wa nane huu wala kumgusa sijawahi.. Nitamgusa honey moon.. Kwanza zinaa ni chukizo mbele za Mungu..
Mhudumu nipe zingine mbili za baridi tafadhali
Aisee! Ulikuwa fala sana mkuu, anyway afadhali umekuwa mjanja.Salaam
Wana jamvi ili swala la kuwa na mpenzi ambae hataki ata kuguswa makinikia yake,
Limekuwa tatizo Kubwa sana hawa wadada hawaeleweki kabisa, niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukawa kwenye mahusihano miaka 6 bila kunjunjana nilimsomesha kutoka secondary mpaka chuo alipofika chuo mwaka wa3 Akanitosa mzima mzima nilipata ukichaa mwaka mzima,
Kilichoniuma zaidi makinikia yakaliwa na wawekezaji hewa, sasa nyie wanaume endeleeni kulea hayo makinikia kama mtapata kitu, usikubali eti miezi 2 huja chenjua makinikia, hakikisha una mnjunja kwanza ndo mengine yanafata(ila usikosee njia kwani umewai ona mbuzi wanakosea njia)
AKA KAMCHEZO KATAM BANA
Wanasema anasimamia kwenye mtelemkomapenzi ya bila kukwichikwichi yapo kwenye tamthilia huko....utakuta mchumba wako unamtunza unaishia kumshika mkono...afu kuna mmbabe anamkamua ileile yaaani....mixer "mtukane basha ako"