Kuwa mwangalifu ni kitu muhimu sana, hakuna "short cut" kuukimbia umasikini. Katika huu muda tunaopita kwa "financial crisis" upewe fedha kimchezo mchezo. Tuwe waangalifu tutaibiwa, badala ya mwisho kutabasamu tutakuwa ni wenye kusaga meno na machozi juu.