Mapendekezo ya Zitto balaa

Sio wafilisiwe tu wanyongwe kabisa watu wanawalisha sumu wenzao kuwazoofisha na kuwauwa nao wakikamatwa kitanzi hadharani tu

Hapana wasinyongwe, watupwe segerea hadi wafie hapo, ili wajionee kwa macho kuwa hakuna aliye juu ya sheria.
 
kwanza chanzo chenye cha habari ni chaga typ:teeth: yan walewale wapigaji!!!
mkono ndo source wa haya mambo baada ya kushindwa kununua issa za iptl kupitia symbion ndo kaanzisha hizi chokochoko kwa kuwatumia kina kafulila na zitto wazee wa njaa za kichwa
 
Mimi napendekeza unyongwaji wa vinyago wafuatao: Mwinyi, Mkapa, Msuya, Kikwete, na mawaziri wote wezi. Tena wafirisiwe first, kisha kukatwa sehemu zao za siri na kunyongwa baada ya mateso makali.
 
Huu sasa Ni uvamizi wa wazi kabisa hapa jf.lazima hatua zichukuliwe hatuwezi kuruhusu mtu anajisikia Tu kupost utumbo halaf anaachiwa kwa kisingizio cha uhuru WA kutoa maoni.
 

Jamani Umeme umekatika kwangu na sijaenda kibaruani
 
Singasinga Seth na familia yake wanamiliki 50% ya hisa za PAP. Huyo mmiliki mwingine wa 50% ndiye kinara wa dili hili chafu.

Kweli Mkuu, na ndie tunamtafuta na Inshallah Mungu atatuonyesha tu tumjue huyu dhulumati wa maisha mama wanaojifungua, watoto wetu kukaa chini madarasani, hOSP. ZETU KUKOSA HADI PANADOL!!!
 
Ushirikiano wetu na China unakua sana kwa sasa nadhani watusaidie kutoa mapendekezo ya namna ya kushughulikia tatizo la ESCROW. Si unajua siku zote ukipata tatizo unapata ushauri kwa rafiki wako wa karibu au sivyo?
Thubutu! labda kama hawajipendi. shaba hadharani. usicheze na serikali za kikominist hata siku moja. hao ni rahisi kwenda kuomba ushauri kwa Al-Shabab kuliko kwa wachina.
 

umeyaona wp mapendekezo ya zitto, wacha kuzusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…