Ninapendekeza mamlaka ya RITA ifutwe
Halafu iwe hivi,
Wizara ya mambo ya ndani iwe na mamlaka/Idara ya Utambuzi na uhakiki.
Hii idara/Mamlaka itatambua na kuhakiki VIZAZI, VIFO, URAIA, na kutoa Vitambulisho.
Kitambulisho hicho kimoja kiwe na chep au namba hiyo isome na itumike katika BIMA, NSSF, PSSSSF, TAX ISSUE, Nk...
Ova
Naitwa Machepele