Mapazia ya kushona

yahoocom

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
331
Reaction score
380
Nahitaj kupata mtu anaeshona mapazia ya kisasa na anapatikana maeneo gani Dar??
Kwa wanaofaham naomba wanijulishe.
 
Hata mimi nimekuja nduki kutaka kuona huo uvumbuzi. " Malaria ya Kushona"
 
Nilidhani siku hizi malaria inatumwa kama radi Sumbawanga
 
Una akili sana ulivokosea makusudi mradi tuje nduki
 
Nenda kariako waulize WOP(WOISO ORIGINAL PRODUCT).
Nahitaj kupata mtu anaeshona mapazia ya kisasa na anapatikana maeneo gani Dar??
Kwa wanaofaham naomba wanijulishe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…