So alifanikiwa kulala naye?Kikubwa ni kukosa Elimu sahihi ya uwekezaji
Kawaida hela ambayo unaipata nyingi Kwa haraka, kama hautakuwa makini nayo inaweza kuisha haraka pasi na kuifanyia jambo la muhimu
Unaweza kujikuta unabeba milioni 2 na ikaishia yote Kwa mtoko wa gambe ya usiku mmoja
Kuna jamaa, kama atasoma hapa atajua nimemtolea mfano yeye
Alimwingizia Tanzania sweetheart 30M Kwa Kulala naye usiku mmoja tu
Watu wanaofanya kazi kwenye machimbo, wengi wao huwa na Matumizi ya anasa sana ya Fedha zao
Ndiyo, tatizo sio Kulala naye, tatizo ni kutumia milioni 30 Kulala nayeSo alifanikiwa kulala naye?
Haha wanasema ukipata tumia eti!Ndiyo, tatizo sio Kulala naye, tatizo ni kutumia milioni 30 Kulala naye
Ni hela nyingi sana kulipia Kei
Wakati Kuna mabinti wa Mwaka 2000 wamejaa teleHaha wanasema ukipata tumia eti!
Wakati Kuna mabinti wa Mwaka 2000 wamejaa tele
Unajipigia wakiwa kwenye mileage ndogo utasema ni gari uliyonunua Indonesia π
Hahahaha hayaWakati Kuna mabinti wa Mwaka 2000 wamejaa tele
Unajipigia wakiwa kwenye mileage ndogo utasema ni gari uliyonunua Indonesia π
Ule ulikuwa ni ulimbukeni na kukosa nidhamu ya fedhaHahahaha haya
Noted β οΈ!Kikubwa ni kukosa Elimu sahihi ya uwekezaji

ππNoted β οΈ!