Wenye uchungu na taifa hili wanarud bungen...walionunuliwa na wafitin kaen kando WaTZ wachape kazi
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
Siyo mapandikizi ya ccm!, viongozi wa ukawa hawana haki ya kuwazuia wajumbe, wamechoka, hata wiki bado wamerudi 6 next week tutegemee zaidi.
naamini wote wamerudi ila wapo geshti wamejificha
ndo kawaida yenu chama kinakufa nyie maneno maneno tu utafikiri waimba taarabu
r.i.p ukawa
sent from my iphone using jamiiforums.🔩🔨uuuu
Wenye uchungu na taifa hili wanarud bungen...walionunuliwa na wafitin kaen kando WaTZ wachape kaz
kwikwii..
Sent from my iPhone using JamiiForums.
Kweli mkuu mapandikizi ya ccm yapo kama kina Dovutwa, mrema, arfi, leticia nyerere, shibuda, cheyo na wenzake, hao sio wapinzani wa ukweli, bali ni wachumia tumbo na wanaccm walioko upinzani.
UKAWA wanawawakilisha wananchi waliotoa maoni yao mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Kwa sasa Fisadi Sitta haongozi kikao cha BMLK, anaongoza kikao cha walafi wa posho, wanafiki na mafisadi ambao wako tayari kusaliti maoni ya Watanzania kwa kipande cha fedha cha laki tatu.Khaa hivi hawa UKAWA wanawawakilisha wananchi gani?? Mbona mimi siwatambui??
UKAWA wanawawakilisha wananchi waliotoa maoni yao mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba. Kwa sasa Fisadi Sitta haongozi kikao cha BMLK, anaongoza kikao cha walafi wa posho, wanafiki na mafisadi ambao wako tayari kusaliti maoni ya Watanzania kwa kipande cha fedha cha laki tatu.