Huu upuuzi unaofanywa ktk katiba mpya ni kuteketeza hela tu! Katiba ya upuuzi wa sera za CCM utakwama kwenye kura za wananchi, na ikipita TZ bara itakwama TZ visiwani!
...
Na katiba ikifeli CCM mjiandae kutuua tu, hatukubali kamwe kuendelea kutumia katiba ya kifisadi iliyopo!