Muungano wa wajumbe wa CCM walio katika upande ambao hawahitaji JPM akabidhiwe Uenyekiti umejeruhiwa vibaya mno
Kitendo cha JPM kuwaingiza UVCCM na baadhi ya wana CCM kwennye ukuu wa wilaya,Udas na Ukurugenzi umepunguza nguvu na hoja walizokuwa nazo upande ule unaompinga maana ulikuwa ukiungwa mkono na hawa waliokuwa wakiachwa kwenye teuzi
Jiulize kwanini teuzi hizi zimeambatana harakaharaka kabla ya tar 23??
Onyo kwa wana CCM nahisi jamaa anataka kuwafurahisha ili mmpatie uenyekiti ila naamin baada ya kuukwaa atawaondoa tena mmoja mmoja mpaka muishe