Mapalala akacha kamati namba moja

kiabasaka

Senior Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
146
Reaction score
13
Hii inatokana na mifumo ya mabunge itakuwaje yeye adai Kama watajadili mfumo wa serikali 2 yeye atakaa pembeni Mimi nadhani wanasubiri wafike Wengi ndio waamini Kama watu wanataka serikali tatu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Serikali 2 ndio hulka ya ma ccm na haipitiii
 
asituzingue nini alikuwa hakijui hapo

nimeshangaa kusikia kuna mwingine anakwenda mahakamani kuhoji uhalali wa BMK kuitupa rasmu

hawa watu wameshibika hela wanataka tuwaone kuwa maana leo !
 
Wachumia tumbo hao hamna lolote hao.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Jamaa wanapiga posho kidijitali kweli. Watakaa Bungeni kujadili hoja zote. Ikifika kipengele cha majumuisho watataka serikali Tatu.
 
Acheni kulalamika maana tukiwaambia kesho tuamkie barabarani hakuna wa kukubali
 
Tatu ndo mpango acha wakatae ila wakae wakijua ndo hitaji la wengi ipo siku wataidhinisha tu hasa nguvu ya umma ikichoka kuwavumilia
 
asituzingue nini alikuwa hakijui hapo

nimeshangaa kusikia kuna mwingine anakwenda mahakamani kuhoji uhalali wa BMK kuitupa rasmu

hawa watu wameshibika hela wanataka tuwaone kuwa maana leo !

Inasaidia. Uwongo unajitenga na ukweli. Waswahili wanasena "pata hela tukujue" kwahiyo baada ya kushida wanaonesha waliyonayo moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…