Nimefungua fasta nkajua kuna picha....
Picha pliz
Kiroho safi najua hii ni fikra zangu but zinaweza kuwa tuna share na wewe..
Tangu nimeanza mapenzi , i prefered mostly white girls to others.. Lakini nakumbuka may 2013 nilibahatika kwenda bukoba Ngara.. Kifupi ndani ya wiki 2 nilipata demu kama msomali au mtutsi but yeye aliambia ni mhaya ila sikuwa na imani na hilo.. Nakumbuka nilimchukulia kama wa kawaida tu kwakuwa sijawahi penda mdada mweusi..
Siku ya siku mtoto alikuja getto na kutaka maujanja. Ile kumvua ngua na mkagua na kwa karibu nilishikwa na mtetemo wa ile rangi kuanzia kifuan had mguuni yan ful attractive . Mapaja yamejaa rangi ya choleti , yan binti alikuwa mtamu sijawai ona mie.. Mh kwa sasa sitaki mademu weupe mimi.
Nimefungua fasta nkajua kuna picha....
Picha pliz
all in all, jibu ni kwamba alikuwa mwanamke!Kiroho safi najua hii ni fikra zangu but zinaweza kuwa tuna share na wewe..
Tangu nimeanza mapenzi , i prefered mostly white girls to others.. Lakini nakumbuka may 2013 nilibahatika kwenda bukoba Ngara.. Kifupi ndani ya wiki 2 nilipata demu kama msomali au mtutsi but yeye aliambia ni mhaya ila sikuwa na imani na hilo.. Nakumbuka nilimchukulia kama wa kawaida tu kwakuwa sijawahi penda mdada mweusi..
Siku ya siku mtoto alikuja getto na kutaka maujanja. Ile kumvua ngua na mkagua na kwa karibu nilishikwa na mtetemo wa ile rangi kuanzia kifuan had mguuni yan ful attractive . Mapaja yamejaa rangi ya choleti , yan binti alikuwa mtamu sijawai ona mie.. Mh kwa sasa sitaki mademu weupe mimi.
mbona hivyo tena mama! au wewe si cheupe wala cheusi? lols!Tusikuoneeeee...!!!!
hahahahaaaaa, kama ulikuwepo kwenye kichwa changu vilee!