mmi najiuliza twanga na watu wao kibao wanachemsha sasa hawa watatu kwa nyimbo zipi? wawe wakweli tu, jose mara arudi zake FM Academia, na khalid chokoraa amrudi kulekule kwenye ile bendi iliyomtoa mwaka 2003, yaani Extra Bongo, mbona hata Ally Choki, mara ya kwanza extra ilimshinda akarudi Twanga? Banza nae alichemsha akarudi Twanga, Muumin kachemsha akarudi Twanga, haina mbaya mtoto mpotevu kurudi nyumbani after all itakuwa win-win situation kwa wote twanga na chokoraa