Me hata sijasoma,..nilikuwa naangalia kama ntaona hata kapicha...
😅😅😅upo kididimo nini??Hongera ya nini tena!Wangu huku niliko na mtandao una shida balaaa
Kumbe umeisoma afu unatuzingua hujasoma...Aaah babu kasema mapacha wawili ,pea pea angeweka picha kama hiiView attachment 1121536
Kumbe umeisoma afu unatuzingua hujasoma...
Huna maana kabisa asee...
Naenda kukusemelea kwa Jiwe
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]balaaa na robo yaani bush muulize@Shunie[emoji28][emoji28][emoji28]upo kididimo nini??
Ngoja nimuulize kama kweli...[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]balaaa na robo yaani bush muulize@Shunie
Hahaaa...lami kwanza hakunaNgoja nimuulize kama kweli...
Hahaha kama huku kwetu nanji???Hahaaa...lami kwanza hakuna