Mapacha waolewa na mapacha wenzao

Hii elimu yetu daaah
Umeshindwa kuweka picha kabisa ?
 
Me hata sijasoma,..nilikuwa naangalia kama ntaona hata kapicha...
Hivi Mara ngapi tuwasisitizie kusindikiza nyuzi zetu na picha?
Akifanikiwa kuweka picha naomba unitag

Ukishanitag mie nitamtag Inna na Atoto waje waone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mimi
Habari bila picha haijakamilika huu ni uongo
Upuuzi mtupu, tukio kubwa kama hilo unaandika habari isiyo na picha!

Umeniudhi sana na kitu cha kusoma hapo ni 'headline' tu kisha uende kwenye picha hayo maelezo mengine hayatuhusu.
picha, picha, picha,picha. maelezo wala yalikuwa hayana haja.
Hii elimu yetu daaah
Umeshindwa kuweka picha kabisa ?
tupiamo kapicha
Aiseee japo hawaonekani vizuriView attachment 1120984
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…