maono yangu

maono yangu

mnunguz

Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
10
Reaction score
2
Jimbo la nungwi ni dhahir kwamba ukawa kupitia cuf asubuh na mapema kurud tena cuf, ccm aliye waloga amefariki hamtaki tena kujifunza, yupo mtumishi ambaye ccm kwa kutokujua walifikir anajenga chama kumbe kakibomoa alifanya kaz za uonevu kwa wanyonge kwa mwamvul wa ccm, ccm wanakumbuka shuka kumekucha, kwa sasa nasikia eti wamemhamisha wamempa eneo JIRAN kabisa na alipokuwa awali nakishaur chama kimuondoe hapo, kama mtapuuzia mtaja ona!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom