Kwanza wewe na wenzio rekebisheni hizi Lugha za Facebook...ukiwa 1 unaitwa WMBO zikiwa zaidi ya1 ndio zinaitwa NYIMBO sasa huu ujinga wa kubadili Lugha nendeni huko FBHabari wanajamvi?
Leo nimebahatika kuona video ya Prof.Jay ya nyimbo yake mpya inayoitwa "kazi" amemshirikisha kijana wa kisinheli anaitwa Sholo Mwamba.
Mwanzoni mwa hii video kunamsururu wa magari yakionyesha kama msafara flani hivi.Nimeangalia kwa makini nikaona gari aliopanda Prof.Jay imewekwa bendera ya Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Swali langu ni je, uwepo wa bendera ile katika video hiyo ni sahihi?
Bahati mbaya siwezi hamisha video hapa lakini unaweza iangalia youtube kwa channel ya Prof.Jay..
Note
He is one of my very very favorite Artist.
Ndio zama zake hizo ...bongofleva ilianza hivyo hivyo kama una kumbukumbu vzuri.Sisi wengine tuendelee na bongofleva zetu kama wazee wetu walivyoendelea na dansi zao wakati bongofleva inapoibuka.Very stupid music Genre ever heard in my entire life. I always think that old Bongo flavor had a better taste than this so called ordinary piece of shit! SINGELI
acha ubinafsi wapo watu unawaburudisha.Very stupid music Genre ever heard in my entire life. I always think that old Bongo flavor had a better taste than this so called ordinary piece of shit! SINGELI
Sina hakika kama hiki ulichoandika ndio kile ulikuwa unamaanisha, kulingana na muktadha!Nampenda sana Mh. J Mbilinyi. Ana busara sana na anajiheshimu. He is really an icon kwa vijana wetu wengi. Si wale wavuta bange wa Mbeya.
Asee nitatoaje maoni kitu ambacho sijkionaAsante... toa maoni kuntu shabihiano sasa.
Umekunywa viroba vingapi braza?Nampenda sana Mh. J Mbilinyi. Ana busara sana na anajiheshimu. He is really an icon kwa vijana wetu wengi. Si wale wavuta bange wa Mbeya.
Habari wanajamvi?
Leo nimebahatika kuona video ya Prof.Jay ya nyimbo yake mpya inayoitwa "kazi" amemshirikisha kijana wa kisinheli anaitwa Sholo Mwamba.
Mwanzoni mwa hii video kunamsururu wa magari yakionyesha kama msafara flani hivi.Nimeangalia kwa makini nikaona gari aliopanda Prof.Jay imewekwa bendera ya Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Swali langu ni je, uwepo wa bendera ile katika video hiyo ni sahihi?
Bahati mbaya siwezi hamisha video hapa lakini unaweza iangalia youtube kwa channel ya Prof.Jay..
Note
He is one of my very very favorite Artist.
HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA by MAN FONGO hebu kausikilize ulete mrejeshoVery stupid music Genre ever heard in my entire life. I always think that old Bongo flavor had a better taste than this so called ordinary piece of shit! SINGELI
Sio ubinafsi mkuu, ukweli lazma usemwe hata kama hamtaki!acha ubinafsi wapo watu unawaburudisha.