shukrani sana wakuu maana ni s7 edge ila screen inaleta mstari wa pink nimepata wa kumforwardia na ghafla nimepata cheap s9+
Mkuu sh ngapi iyo s9+ nikuunge mkono huko unakonunua.hapana, bado sijichukua mzigo ila nimecheki iko android pie kwa sasa sikuwa na muda wa kucheki kama imepokea android x
ila nadhani itapata, kwa sababu nimeona s9+ ni moja wapo ya s series itakayopata android X
Nilijua anafanya biashara na me nichukue moja. Kumbe ilikua moja tuu.mkuu ni bei ya kutupa ni mtu wangu ananiachia kwa bei sawa na bure 500K ikiwa na accessories zote
Hongera. Vp umepa updates
hapana ase ni yeye ndo aliniachii hii s7 edge saiv anataka kwenda iphone X kwa hiyo ananipasia hiyo s9+
unaweza fanya manuever ikapata update mimi ninayo s7 edge ilikuja na adroid 6 ila sasa ipo oreo 8 nili-update kwa pc odin