Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,435
- 1,626
Full MitatuHivi huwa wanakula milo mingapi kwa siku?
Napenda kuishauri Serikali kwasasa kuhusu huduma katika magereza kuanzia usafi, afya za wafungwa, mavazi nadhifu, mahala pa kulala na haki ya kupata taarifa.
Mapendekezo:
1. Je, Serikali haioni kuna umuhimu sasa Magereza yaboreshwe na kujengwa kwa mtindo wa hostel za kisasa.
2. Je, Serikali kwanini isianzishe mfumo mzuri wa huduma ya chakula kwa wafungwa kula vyakula vizuri tena iwe milo hata 3 kwa kutwa.
3. Magereza yote nchini yawe na mazingira mazuri ya kupumzika kwa wafungwa wawe na uwezo wa kupunga upepo na kurefresh akili.
4. Mfungwa/ wafungwa wapate haki ya habari kuhusu nchi yao na pia kuwe na mfumo mzuri wezeshi wa kushirikishwa maendeleo yaliyopo mtaa au kijiji wanachotoka.
Karibu.
Upo sawa sana mkuu lakin kwa magereza ya Africa daaah
Mmoja tu saa9 mchana mpaka siku inayofata mda la huo
Hivi huwa wanakula milo mingapi kwa siku?
In short mlo ni mmoja na nusu. Maana asubuhi wanapata uji tu alafu saa 9 alasiri wanakula ugali ndondo day off mpaka kesho tena.Hivi huwa wanakula milo mingapi kwa siku?
Milo mitatu?!!Full Mitatu
Nadhani Ni mwendo wa Mandondo tuu [emoji23][emoji23]
Utarestishwa in peace asap hawatajali mambo ya kutumia nguvu kadri ya ulivyoha magereza ya bongo yakiwa hivyo, kwa jinsi life la kitaa lilivyo gumu ningeenda piga kofi upara wa jiwe wakanitupe huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe utatamani ?
ahaa kuna watumishi wa umma hawapati hizi facillities alafu wafungwa ndo wapate,Napenda kuishauri Serikali kwasasa kuhusu huduma katika magereza kuanzia usafi, afya za wafungwa, mavazi nadhifu, mahala pa kulala na haki ya kupata taarifa.