Maombolezo ya vifo vya wapigania Uhuru Arusha-Ushauri

The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
20
Ninayoheshima kubwa kwa marehemu waliouwawa na Jeshi la CCM kwa lengo la kumlinda kiongozi dhaifu. Damu yao na iwe chachu na izae matunda yatakayoleta Uhuru kamili. Tuwaenzi kwa kuendeleza mapambano waliyoyanzisha

Nashauri bendera za CHADEMA zipepee nusu mlingoti

Napendekeza wazikwe kwa heshima zote za chama

Napendekeza halmashauri zinazoongozwa na CDM kuwakumbuka katika vikao vyote

Napendekeza picha zao zipatikane hapa JF

Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi.

BILA SHAKA MAPAMBANO DHIDI YA MKOLONI MWEUSI NI MAGUMU MAANA KODI ZETU ZINANUNUA SIRAHA ZA KUTUUA. LAKINI SINA SHAKA WAKATI WA KUWANG'OA MAFISADI ULIOKUBALIKA NI SASA

Aluta continua
 
Hawa ni mashujaa wa kweli...tuwaenzi.
Hii ni heshima kubwa kufa kishahidi kwa ajili ya kulikomboa taifa kutoka mikononi mwa wanyang'anyi...weusi.
Ee Mungu damu iliyomwagika kwa ajili ya ukombozi wa uongozi wa kidhalimu isipotee bure.
RIP, AMEN
 
Back
Top Bottom