Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
Kwa wale wanao amini kuwa Mungu anaweza kuponya, basi ungana nami na tumuombee huyu Mtoto Uponyaji.
[Yesu] Akawaambia, Enendeni ulimwengu mwote mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini atahukumiwa. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya (Marko 16:15-18).
Mungu akubariki sana kwa maombi yako.