Sawa dada yangu nimekuelewa sema siku nyingine upunguze kuwashwawashwa.Kitu kama hukifahamu unakaa kimya sio kila mashine ya mwanaume uidakie..after all usifikiri kila jambo linaloulizwa basi linamlenga mtumaji directly nyingine ni njia za kuexpress tu but ujumbe ufike na msaada upatikane..msalimie mumeo
Kama unasifa za kupata chuo nenda TCU, waeleze kwamba uliomba na ukakosa.Watakupangia chuo kwa maana wapo ambao wanachaguliwa lakini hawaripoti vyuoni kwa sababu nyingi tu..... Hii ndio njia pekee kwako ya kupata chuo.