Maombi ya nafasi za kazi

Evance2006

Member
Dec 27, 2016
60
27
Kwa jina naitwa Selemani nimemaliza degree ya ualimu(Chemistry na Biology) natafuta kazi!! Kwa mtu yeyote anaejua private inayotaka mwl wa masomo hayo tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom