munguyupo
Member
- Sep 4, 2015
- 22
- 1
Mimi ni kijana jinsia mwanaume umri miaka 19 nimehitimu kidato cha nne mwaka jana Nikapata credit ya 1.8 yan division 3 lakini sikupangiwa shule kutokana na siku balance comb,,,,,,, nika apply chuo mwez wa nne nikalipa ada robo ya ada sasa imefikia mwezi huu natakiwa niingize tena ada,,,, naona mambo yamekuwa magumu kutokana na mzazi wangu kuugua,,,,,, kwahiyo kilicho nileta hapa jukwaani ni kuomba kazi yoyote ile niweze kufanya ili niweze kupata ada ya kuendelea chuo nipo tayar kufanya kazi yoyote kwa muda mfupi ilinipate hiyo laki tatu naombeni msaada wenu hata mawazo yana tosha plz msaada wenu