english kiswhl? haha okMi ni msichana wa miaka 26,muhitimu wa bachelor ya education masomo ya englsh na kiswhil, natafuta kazi ya kufundisha kuanzia ngaz ya primary.. Nipo mwanza!!!! Ahsanten
unaomba kazi kihuni hupati kwakweli anza kukaanga maandazi mdogo mdogo.....................Mweeeh, hicho tu ndyo umekiona.... [emoji23][emoji23][emoji23] haya bana... Ni kiswahili na english(kingereza)
Chura ipo?
Nikuase dada angu..Au cyo... We pia mhanga nini mbona una hasira sana,,,, pole na stress zako za asubuh asubuh....