Maombi ya kazi ya Udereva

Mgeni95

New Member
Joined
Jan 23, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Habari Wana JamiiForums

Ni Matumaini yangu mu wazima na tunapambana vyema na ili janga la Corona lililoikumba nchi yetu na Dunia nzima [emoji1431]

Nimejitokeza mbele yenu hapa kwa Nia ya dhati kabisa ya kumuombea Mme wangu kazi ya udereva kwenye makampuni binafsi au sekta yoyote ile nafasi itakayopatikana!

Sifa zake
  • Ana umri wa miaka 29
  • Leseni yake Ina mruhusu kuendesha madaraja yafuatayo bila shida yoyote. Daraja A, A1, A2, B, C1, C3, D, G, na F.
  • Ana uzoefu wa udereva kwa miaka 10, na ni dereva mzuri.
  • Anaishi Dar es salaam.
  • Ni mwaminifu na ana nidhamu kwenye kazi.
Tumeomba nafasi ya udereva ni kwasababu anaipenda iyo Kazi sana, lakini akipata nafasi ya kazi nyingine pia tutashukuru sana[emoji1431]

Kukiwa na lolote, tafadhali usisite kunipigia nitashukuru sana. Asante

Mawasiliano Call/WhatsApp: 0757460922
 
Habari Wana JamiiForums

Ni Matumaini yangu mu wazima na tunapambana vyema kutafuta mkate wa Kila siku.

Nimejitokeza mbele yenu hapa kwa Nia ya dhati kabisa ya kumuombea Mme wangu kazi ya udereva kwenye makampuni binafsi au sekta yoyote ile nafasi itakayopatikana!

Au pia anatafuta gari ya hesabu ya Uber/Taxify kwa week ya angalau 100,000/= kulingana na mzunguko wa kazi na kukimu majukumu mengine ya nyumbani kama baba. Account zote anazo na ni mzoefu wa iyo kazi.

Sifa zake
  • Ana umri wa miaka 30
  • Leseni yake Inamruhusu kuendesha madaraja yafuatayo bila shida yoyote. Daraja A, A1, A2, B, C1, C3, D, G, na F.
  • Ana uzoefu wa udereva kwa miaka 10, na ni dereva mzuri.
  • Anaishi Dar es salaam.

Ni mwaminifu na ana nidhamu kwenye kazi. Tumeomba nafasi ya udereva ni kwasababu anaipenda iyo kazi sana, lakini akipata nafasi ya kazi nyingine pia tutashukuru sana.

Kukiwa na lolote, tafadhali usisite kunipigia nitashukuru sana. Asante

Mawasiliano Call/WhatsApp: 0655164257
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…